Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rosa Ree: Mimi ndio rapa bora Afrika nzima

ROSAREE Rosa Ree

Fri, 25 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkali huyo ambaye jina lake halisi ni Rosary Robert, mzaliwa wa Moshi Tanzania, leo kupitia ukurasa wake wa Instagram awakumbusha wakali wenzie kadhalika na mashabiki kuwa yeye ndio rappa Bora Afrika tena kiujumla.

"I AM THE GODDESSSSS!. Hakuna rapper ambaye ananizidi Africa nzima. Nawapenda, Nlnawaheshimu na nasikiliza miziki yenu. Lakini mimi ndiye Rapper bora Africa! Sio rapper bora wa kike, bali Rapper bora kiujumla! Kama unabisha bonyeza link kwenye bio yangu upate uhakika! #BLUEPRINT," ameandika Goddess.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live