Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Roma aikataa Amapiano, apendekeza singeli

Roma Msanii wa Hip Hop, Roma

Thu, 11 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Hip Hop Roma, ametoa ombi kwa wasanii wenzake kuachana na muziki wa amapiano ambayo asili yake ni Afrika ya Kusini.

Aidha vile vile Roma amewaomba mashabiki pia kuachana na aina hiyo ya muziki kwa kuwa haina afya katika ukuaji wa Industry ya muziki wetu.

Roma amesema kama itawapendeza basi wamalize mwaka huu kwa kuimba na kucheza aina hiyo ya muziki lakini unapoanza mwaka mwingine mkazo utiliwe kwenye singelli kwa kuwa aina hiyo ya muziki inaweza kuutambulisha muziki wetu au itafutwe sound nyingine mpya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live