Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rich Mavoko ajinadi upya

IMG 20220312 WA0050 Mwanamuziki Rich Mavoko

Sun, 13 Mar 2022 Chanzo: dar24.com

Mwanamuziki Rich Mavoko anaendelea kutikisa kiberiti, akiunadi ujio wake mpya kwenye kiwanda cha muziki wa bongo fleva nchini baada ya ukimya kwa kipindi kirefu.

Baada ya ujumbe mfupi aliouchapisha kwenye mtandao wa Instagram siku ya jana machi 11, hatimaye leo machi 12 pia amerejea na ujumbe mwingine unaoonesha wazi kuwa amedhamiria kufanya kitu kikubwa na cha tofauti kwenye sanaa yake ifikapo Machi 18, 2022.

“Muda unakaribia, na huu mwaka ni wetu"

Chanzo: dar24.com