Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rayvanny kawatema WCB?

Kijuso Rayvanny Rayvanny

Sun, 17 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa muziki nchini na Mkurugenzi wa lebo ya Next Level Music, Raymond Shaban Mwakyusa maarufu kama "Rayvanny" ameondoa utambulisho wake wa kuwa chini ya lebo ya Diamond Platnums, WCB wasafi kwenye Bio ya ukurasa wake wa Instagram.

Hatua hiyo ya Rayvanny inaachia maswali yanayoweza kuwapa nafasi baadhi ya mashabiki wa muziki na wafuatiliaji wake kuamini kuwa Msanii huyo kwa sasa hafanyi kazi chini ya lebo hiyo iliyosaini naye mkataba wa kibiashara mwaka 2016.

Ikumbukwe pia hata kuondoka kwa msanii mwingine aliyekua chini ya lebo hiyo, Rajab Abdul Kahali "Harmonize" kulianza kwa style ya kuondoa utambulisho wake katika ukurasa wake wa Instagram.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live