Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha 8: Kutoka kwenye tamasha la Dar Sunset Carnival Coco Beach

WhatsApp Image 2021 10 16 At 8.46.44 PM 660x400.jpeg Barnaba akitumbuiza

Sat, 16 Oct 2021 Chanzo: millardayo.com

Kutokea Dar es Salaam 88.5 ambapo tamasha la DARSUNSET CARNIVAL limewakutanisha wakazi wa jiji hilo kwa pamoja katika Fukwe za Oysterbay maarufu kama Coco kwa lengo kukuza sekta ya Utalii.

Mbali na wakazi wa Dar es Salaam, viongozi wa Kiserikali akiwemo Mkuu wa Mkoa, Amos Makalla na wasanii mbalimbali wamejitokeza, akiweno Barnaba, Meja Kunta na Linex.











Chanzo: millardayo.com