Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Octopizzo adokeza ujio wa Album

Octopizzo Bio TheCityCeleb 1140x641 Rapa Octopizzo

Wed, 10 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Hip Hop kutokea Kenya Octopizzo amedokeza ujio wa Album yake mpya aliyoipa jina la “Motivation”

Rapa huyo anayefanya vyema ndani ya mipaka ya kenya anaona ni wakati sahihi kwake kuachia Albamu ikiwa ni ahadi aliyoweka kwa mashabiki wake.

Kupitia ukurasa wake wa instagram amedokeza mashabiki zake kuwa nyimbo ya kwanza (FUEGO)kutoka kwenye Album hiyo itaingia sokoni Ijumaa hii (12 Novemba)

"Ni wakati wa mashabiki kuamua wasikilize ngoma ipi na wakati upi" amesema rapa huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live