Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota wa Shindano la kusaka vipaji afariki kwa ajali

Willie Spence Willie Spence

Wed, 12 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshindi wa Pili wa shindano la kusaka vipaji, American Idol msimu wa 19 Willie Spence amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kwa ajali ya gari.

Mshindi wa Pili wa shindano la kusaka vipaji, American Idol msimu wa 19 Willie Spence amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kwa ajali ya gari. Willie ambaye aliingia kwenye usahili wa mashindano hayo mwaka Jana kwa kuimba wimbo wa Rihanna ‘Diamonds’ amefariki akiwa na umri wa miaka 23.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live