Fri, 22 Oct 2021
Chanzo: eatv.tv
Msanii Hamadai anasema kati ya wanamuziki wenye pesa nyingi bongo na yeye ni mmoja wapo na pesa hizo amezipata kutokana na kazi zake za ujasiriamali na utafutaji.
Msanii Hamadai anasema kati ya wanamuziki wenye pesa nyingi bongo na yeye ni mmoja wapo na pesa hizo amezipata kutokana na kazi zake za ujasiriamali na utafutaji. Mtazame hapa kwenye video akijimwambafai kuhusu pesa zake.
Chanzo: eatv.tv