Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ngoma ya Ckay ‘Love Nwantiti’ Yatikisa Marekani

Ckay Love Nwantiti Ngoma ya Ckay ‘Love Nwantiti’ Yatikisa Marekani

Sat, 29 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wimbo wa mkali toka nchini Nigeria Ckay ‘Love Nwantiti’ umefikisha kiwango cha mauzo ya Platinum yaani nakala milioni 10 kwa nchini Marekani. Huu unakuwa wimbo wa pili toka barani Afrika kufika Platinum nchini Marekani baada ya ‘ESSENCE’ ya Wizkid ft. Tems.

Wimbo wa mkali toka nchini Nigeria Ckay ‘Love Nwantiti’ umefikisha kiwango cha mauzo ya Platinum yaani nakala milioni 10 kwa nchini Marekani. Huu unakuwa wimbo wa pili toka barani Afrika kufika Platinum nchini Marekani baada ya ‘ESSENCE’ ya Wizkid ft. Tems. Wimbo huo ulitoka mwaka 2019 chini ya label ya Chocolate City na ulianza kufanya vizuri duniani mwaka jana ukikamata namba kwenye Shazam, mtandao maarufu wa kutafuta nyimbo duniani. Pia unaendelea kusumbua kwenye chart mbali mbali za muziki Ulaya na Marekani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live