Tue, 27 Feb 2018
Chanzo: bongo5.com
Msanii Brian Feels kutoka nchini Kenya, ameachia video ya ngoma yake mpya ambayo amemshirikisha Jaco Beatz, Siamini. Wimbo umetayarishwa na Jaco Beatz
katika studio ya Flexible Rec, na video imeongozwa na director Erick.
Chanzo: bongo5.com