Fri, 29 Jul 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Rapa mkongwe Bongo, Emmanuel Elibariki 'Nay Wa Mitego' ameweka rekodi ya kufanya ngoma na wasanii wakubwa wawili Bongo, Diamond na Alikiba hii ni baada ya kuachia wimbo wake mpya wa Nikikuona ambao amemshirikisha Alikiba.
Rapa mkongwe Bongo, Emmanuel Elibariki 'Nay Wa Mitego' ameweka rekodi ya kufanya ngoma na wasanii wakubwa wawili Bongo, Diamond na Alikiba hii ni baada ya kuachia wimbo wake mpya wa Nikikuona ambao amemshirikisha Alikiba. Video ya wimbo huo imeachiwa jana Alhamisi, Julai 22, 2022 una mahadhi ya kimapenzi ambayo imeshutiuwa Dar es Salaam na Director Nicklas.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live