Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Najiona mimi tu kila kona" - Nay wa Mitego

Nay Nay wa Mitego

Mon, 17 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Raisi wa kitaa Nay wa Mitego 'The Trueboy' amesema kuwa ame-miss ule ushindani wa kwenye muziki wa rap maana anajiona yeye tu kila kona kwenye nafasi hiyo.

"Wasanii wengine wa rap wapo wapi kwani mbona siwaoni, najiona mimi tu kila kila kona mtaani mpaka kwenye trending zao nipo mimi tu na hunijui, namiss ule ushindani kweli" ameandika Nay wa Mitego

Nay wa Mitego ameeleza hilo baada ya ngoma yake mpya ya hunijui kufanya vizuri kwenye TV, Radio na mitandao ya kijamii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live