Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwigizaji filamu ya Wakanda kuwania Tuzo za Oscar

Wakanda Forever Mwigizaji Angela Bassett

Thu, 26 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwigizaji Angela Bassett Jana Jumanne aliandika rekodi ya kuwa mwigizaji wa Kwanza wa Kike toka Marvel Studios kuwania Tuzo za Oscar ambapo ametajwa kwenye kipengele cha Best Supporting Actress kupitia filamu ya Black Panther: Wakanda Forever, aliyocheza kama Queen Ramonda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live