Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msanii Gani wa Kike Ametisha Mwaka 2021?

Nandy Na Zuchu Mobetto Msanii Gani wa Kike Ametisha Mwaka 2021

Thu, 30 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

EEEH bwana mwaka 2021 ndiyo huo unakwenda kupiga penati ya mwisho muda si mrefu.

Bila shaka kuna mengi umeyaona, ukafurahi, ukashangaa na kusikitika wakati mwingine.

Hebu weka kando shida na changamoto zako za mwaka 2021, halafu ufunguke kwa raha zako ni wasanii gani wa kike Bongo ambao kusema kweli sanaa yao ilikukuna.

Itakuwa vizuri kama utataja na ngoma zao ambazo hizo ulipozisikia ulipokuwa klabu, home umechili, kwenye gari moyo wako ulipooooa na kukupa rahaaaaa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live