Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Motra The Future ni zaidi ya rapa

Mtr Motra The Future

Wed, 13 Jul 2022 Chanzo: eatv.tv

Kwa mingi mingi labda ulikuwa hujui maana ya jina la msanii wa HipHop Motra The Future kupitia Documentary yake mpya ya Since Day One ametusanua kuwa maana ya jina lake ni zaidi ya rapa "More Than Rapper".

Kwa mingi mingi labda ulikuwa hujui maana ya jina la msanii wa HipHop Motra The Future kupitia Documentary yake mpya ya Since Day One ametusanua kuwa maana ya jina lake ni zaidi ya rapa "More Than Rapper". "Watu wengi wamekuwa wananijua kama Motra lakini hawajui maana ya Motra, nimekuwa nikipokea request nyingi sana kutoka kwa watu wangu ambao wananikubali, Motra maana yake ni More than rapper, zaidi ya kila kitu". amesema Motra The FutureĀ 

Chanzo: eatv.tv