Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki walia na Aliyemroga Aslay

ASLAY123 Aslay

Mon, 21 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku ya Feb 19 ilikuwa ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa mtoto wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka, Mozza.

Msanii huyo alitumia ukurasa wake wa Instagram kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa mwanae na mashabiki zake wakiungana nae kumuwish Mozza.

Kwa muda sasa Aslay amekuwa kimya kwenye muziki huku kwa mwaka mzima wa 2021, aliachia wimbo mmoja tu, unaoitwa Nashangaa.

Lakini hivi karibuni ameonekana ni mtu ambaye yupo busy kufanya kazi na uwenda mwaka huu akawabless mashabiki kwa projects nyingi zaidi kama alivyo wazoesha miaka kadhaa nyuma.



Chanzo: www.tanzaniaweb.live