Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marioo afunguka collabo yake na Diamond na Alikiba

M2 Kutoka upande wa kushoto ni Marioo, Diamond na Alikiba

Tue, 24 May 2022 Chanzo: eatv.tv

Baada ya Marioo kuachia collabo ya naogopa akiwa na Harmonize Jeshi huenda ukasikia collabo nyingine kutoka kwake akiwa na mastaa wawili wa mziki Bongo Diamond Platnumz na Alikiba.

Marioo ameweka wazi hilo kupitia Insta Story yake kwa kujibu collabo hizo zitakuja hivi karibuni baada ya mashabiki wake kuulizia kuhusu kufanya kazi na wasanii hao Diamond na Alikiba. 

Zaidi tazama hapa kwenye video.   

Chanzo: eatv.tv