Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lulu Diva atajwa kuwania tuzo Zambia

Lulu DIVA 1 Lulu Diva

Thu, 9 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji wa Bongofleva @luludivatz ametajwa kuwania vipengele vitatu katika Tuzo za Kimataifa za Zambia, Tuzo ziitwazo Zikomo Africa Awards].

Divana ambaye kwasasa anafanya vizuri na video ya wimbo wake "Jini Gani" akiwa amemshirikisha Dulla Makabila, anawania vipengele vifuatavyo; (BEST SOLO ARTIST OF THE YEAR), (BEST SUPPORTING ACTRESS OF THE YEAR) na (BEST DRESSED MEDIA OF THE YEAR).

Kumpigia kura Lulu Diva ni rahisi, ingia kwenye tovuti ya tuzo hizo kisha nenda kwenye category iliyoandikwa Music & Film, baada ya hapo una nominate, Au bonyeza link kwa bio ya Zikomo Africa Awards].

Chanzo: www.tanzaniaweb.live