Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Listi ya Wasanii wa Kike walioongoza kwenye Mirabaha

Vinara Mirabaha Listi ya Wasanii wa Kike walioongoza kwenye Mirabaha

Mon, 7 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwishoni mwa mwezi uliopita Wizara ya sanaa wakishirikiana na COSOTA walizindua Tuzo za muziki pamoja na ugawaji wa mirabaha kwa wasanii.

Wasanii mbalimbali waliweza kupokea mgao huo ambao unatokana na kazi zao kuchezwa katika vituo mbalimbali vya redio na televisheni.

Hii hapa ni list ya wasanii wakike 20 waliopata gawio kubwa katika mgao wa mirabaha wakiongozwa na Rose Mhando.

Listi kamili Tazama jedwali hapa Chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live