Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kilichosababisha Miss World kuhairishwa

Miss World.png Kilichosababisha Miss World kuhairishwa

Thu, 16 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shindano la Miss World 2021 limeahirishwa kutokana na maambukizi ya UVIKO19, na litafanyika tena ndani ya siku 90.

Shindano la Miss World 2021 limeahirishwa kutokana na maambukizi ya UVIKO19, na litafanyika tena ndani ya siku 90. Washiriki na watumishi wengine wa shindano hilo lililokuwa lifanyike leo Desemba 16, 2021 wamewekwa karatini, na wataruhusiwa kuondoka wakithibitika kuwa wazima.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live