Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanye West atambulisha aina mpya ya viatu vya "YEEZY"

Kanye West Adidas Yeezy Yzy Nsltd Bt Boot Khaki Release Date.jpeg Viatu vya YEEZY

Mon, 25 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu wengi sana wanapenda kupendeza hasa kupigilia raba kali. Mbali na kupigilia raba kali wengi wamekuwa wakivutiwa na aina ya viatu alivyovibuni staa wa muziki kutoka nchini Marekani,Rapa Kanye west aina ya YEEZY.

Sasa hii inawafaa zaidi, ni kwamba Kanye West ambae kwa sasa anaitwa YE, baada ya kubadili jina lake kutoka Kanye West na kuwa YE , ametambulisha mwonekano wa toleo jipya la viatu vyake “YEEZY INSULTED BOOT” rangi ya kaki ambavyo vitaingia sokoni mwezi Novemba mwaka huu.

Muundo wa "YEEZY INSULATED BOOT", ni kama mguu wa tembo ambapo vilionyeshwa kwa mara ya kwanza katika onyesho la “YEEZY Season 8 runway” mwezi Machi 2020.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live