Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanye West ampandisha Drake jukwaani na kuimba nae live

Errrtttrr 640x400 Kanye West ampandisha Drake jukwaani na kuimba nae live

Fri, 10 Dec 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni mkali kutokea Hip Hop, Kanye West ambae Desemba 9, 2021 amemiliki vichwa vya habari baada ya kumpandisha Drake katika concert yake iliyokuwa ikifanyika Los Angeles Marekani.

Watu wengi walikuwa surprise kwa kile Kanye West alichokifanya jukwaani, unaweza ukabonyeza play kutazama namna wawili hao walivyoumaliza Mwaka 2021 kwa namna ya kitofauti.

Ikumbukwe hapo awali iliwahi kuripotiwa wawili hao hawapatikana yaani uwepo wa beef nzito yaani kutoelewan baina yao.

Chanzo: millardayo.com