Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jerusalema yaweka rekodi, yagonga views milioni 500

Jerusalema Master KG.jpeg Jerusalema

Mon, 13 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Video ya Ngoma ya Jerusalema ya msanii Master KG wa nchini Afrika Kusini aliyoiachia hewani mnamo Desemba 12, 2019, imefikisha views milioni 500 katika Mtandao wa YouTube tangu itoke miaka mitatu iliyopita.

Mpaka sasa, Jerusalema ambayo KG amemshirikisha Nomcebo ndiyo video iliyotazamwa zaidi YouTube katika Ukanda wa Kusini mwa Jangwa la Sahara barani Afrika kwa muda wote.

Kibongobongo, Video ya Inama ya Diamond Platnumz ndiyo iliyotazamwa mara nyingi Zaidi ikiwa na views mil. 105.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live