Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jay-Z msanii wa hip hop aliyelipwa zaidi 2021

J Web Kutoka kushoto ni Kanye West, Diddy na Jay-Z

Wed, 2 Mar 2022 Chanzo: eatv.tv

Jay-Z ndio msanii wa hip hop aliyelipwa pesa nyingi zaidi kwa mwaka 2021 kwa mujibu wa mhariri wa jarida la Forbes, Zack O’Malley.

Jay-Z anashika nafasi ya kwanza katika orodha ya wasanii wa hip hop waliolipwa mkwanja mrefu mwaka jana kwa kuingiza $ million 470 sawa na Tsh trillion 1.1. Jay-Z aliingiza pesa nyingi kupitia mauzo ya mtandao wake wa Tidal na mauzo ya kinywaji chake cha Armand de Brignac.

Nafasi ya pili Kanye West aliingiza $ million 250 kupitia mauzo ya viatu vya Yeezy, na Diddy akikamata nafasi ya tatu kwa kuingiza $ million 75.

Hii ndio orodha ya wasanii wa hip hip walioingiza pesa nyingi kwa mwaka 2021

1. JAY-Z – $470 million

2. Kanye West – $250 million

3. Diddy – $75 million

4. Drake – $50 million

5. Wiz Khalifa – $45 million

6. Travis Scott – $38 million

7. DJ Khaled – $35 million

8. Eminem – $28 million

9. J. Cole – $27 million

10. Birdman – $25 million

10. Doja Cat – $25 million

10. Tech N9ne – $25 million

 

 

Chanzo: eatv.tv