Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jay Melody akiri kutawaliwa na mapenzi

JayMelody Sugar Video 600x320 Jay Melody

Wed, 13 Jul 2022 Chanzo: eatv.tv

Ukiachilia mbali nafasi ya mziki kwenye maisha yake, nafasi nyingine iliyopo kwenye moyo wa msanii Jay Melody ni suala zima la mapenzi.

Hitmaker huyo wa ngoma ya Huba Hulu na Sugar amefunguka kuwa mapenzi yanachukua nafasi kubwa sana kwake na hajawahi kufikiria yanaweza kumbadilisha.

Kwa ufupi tu Jay Melody akiyaelezea mapenzi ameandika kwamba

"Binafsi mapenzi yamechukua nafasi kubwa sana kwangu, sikuwahi kufikiria kama nitaweza kubadilika namna hii na yote hayo ni mapenzi".

Chanzo: eatv.tv