Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

He! Msami nae kwenye Ushirikina? jina lake latajwa

Msami Msami Baby

Mon, 24 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa bongo fleva, Msami kupitia ukurasa wake wa instagram amefunguka kuhusiana na kurogwa na msanii mwenzake na ana ushahidi wa sauti yake akiongea na mganga.

Hili la Msami ni muendelezo wa malalamiko yanayotolewa na wasanii wa Muziki ambao hulalama kuhusu kufanyiwa vitendo vya kishirikina na wasanii wenzao.

Je, Msami awataje?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live