Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize hachukui mkwanja ngoma ya "OMOYO"

Harmonize Omoyo Waimbaji wa Ngoma ya "OMOYO"

Thu, 17 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Harmonize ameweka wazi masuala ya umiliki wa wimbo wa “OMOYO” ambapo amesema hana umiliki wowote kwenye wimbo huu na mapato yote yanakwenda kwa Mchungaji Jane Misso.

Harmonize ameweka wazi masuala ya umiliki wa wimbo wa “OMOYO” ambapo amesema hana umiliki wowote kwenye wimbo huu na mapato yote yanakwenda kwa Mchungaji Jane Misso. Konde Boy ameongeza kwa kusema licha ya kutumia gharama zake kwenye Audio na Video, hatachukua hata asilimia 1 kwenye wimbo huo, lengo ni kumuona Jane Misso akiwa amerejesha furaha yake na kung’aa kwa baraka za Mungu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live