Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hanscana awachana wasanii "Wengi mna shoo mbaya"

Hanscana One.jpeg Director Hanscana

Sat, 6 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwongozaji maarufu wa video nchini, Hanscana amewatolea uvivu wasanii kuhusu shows zao wanazofanya kwa kueleza kuwa wasanii wengi wana show mbaya na wanalilia shangwe baada ya kufanya show.

"Kuna tofauti kubwa sana kati ya show nzuri na shangwe, wengi mna show mbaya mnoo. Kila anayepanda analilia shangwe anasahau performance yaani atafanya vyovyote apate shangwe.

"Wengine wanavua hadi nguo apate ka clip watu wanampigia kelele apost IG ajifurahishe but not anything to improve performance," ameandika @hanscana_ kupitia Insta Story.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live