Thu, 28 Apr 2022
Chanzo: eatv.tv
Malkia wa mipasho Tanzania Khadija Kopa amesema yeye si mfuatiliaji wa mahusiano ya Mtoto wake, kwa kuwa Zuchu ni mtu mzima na anajitambua.
Malkia wa mipasho Tanzania Khadija Kopa amesema yeye si mfuatiliaji wa mahusiano ya Mtoto wake, kwa kuwa Zuchu ni mtu mzima na anajitambua. Pia amefunguka kuhusu mahari ya Zuchu ambapo amesema hata kwa msaafu anaweza kumuozesha mtoto wake.
Chanzo: eatv.tv