Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DIOR wampiga chini Travis Scott, Kisa sakata la Vifo katika Onesho lake

Gettyimages 1235223332 Sq 018166785ff8ed3e47c6e014e0f58618be107ddf S1100 C50 Travis Scott

Tue, 28 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni maarufu ya mitindo na mavazi Dior imetangaza kusitisha kwa muda ushirikiano wake kibiashara na rapa Travis Scott kufuatia sakata la vifo vya mashabiki takribani 11 kwenye onesho lake la Astroworld Music Festival lililofanyika Novemba 5 mwaka huu.

Kampuni maarufu ya mitindo na mavazi Dior imetangaza kusitisha kwa muda ushirikiano wake kibiashara na rapa Travis Scott kufuatia sakata la vifo vya mashabiki takribani 11 kwenye onesho lake la Astroworld Music Festival lililofanyika Novemba 5 mwaka huu. Kwenye taarifa yao rasmi wamesema wamefikia uamuzi huo wa kusitisha ushirikiano wao na kampuni ya Travis Scott ‘Cactus Jack’ na kuahirisha uzinduzi wa bidhaa zao mpya ambazo zilikuwa ziingie sokoni msimu wa majira ya joto mwaka 2022.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live