Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Country Boy, Konde Gang kumbe fresh tu (+Video)

CEO Knde Gang CEO wa Konde Gang akiwa na Country Boy

Mon, 10 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Juzi kupitia Taarifa yao ya kuachana na Country Boy kuwa chini ya Konde Gang, kulizuka maneno kadha wa kadha kuhusiana na taarifa hiyo na hasa ikihusishwa na ugomvi kati ya pande hizo mbili.

Muda mchache katika wasifu wa Msanii Country Boy nae akabadili maneno yaliyokuwa yanamtambulisha kuwa chini ya Lebo ya Konde Gang.

Wengi walihisi pengine labda ni ugomvi wa kibiashara baina ya msanii na Lebo hiyo.

CEO wa Lebo ya Konde Gang kupitia "insta Story" yake alimtakia heri msanii huyo katika kazi zake na usiku wa Jana kulipigwa bonge la Party kumuaga msanii huyo jambo linaloonesha kuwa hawana ugomvi ila ni kumalizika kwa mkataba tu baina yao.

Kuna kila sababu ya wengine kujifunza katika hili kwani kushindwa kufanya kazi na mtu sio uadui hata kidogo.

Tazama Video hapa Chini kuona namna Party ilivyosherehekewa;

View this post on Instagram

A post shared by MGUSO WA JAMII (@timesfmtz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live