Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cheki Mkwanja anaoingiza Mwimbaji Adele kwa show moja

Adele Mwimbaji, Adele

Fri, 21 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji kutokea nchini Marekani, Adele ameripotiwa na vyombo mbalimbali kuwa ulipwa kiasi cha fedha za kimarekani dola $700,000 kwa show ya siku moja.

Taarifa hizo zimeibuka baada ya kulipwa katika show moja iliyofanyika huko Las Vegas Nevada huko Marekani, Kiasi cha pesa hicho kinakadiriwa ni sawa na Bilioni 1.6 za kitanzania.

Inaelezwa shavu hilo uambatanishwa na chumba atakacholala chenye thamani ya fedha za kimarekani $ 30,000 ambazo ni sawa na Milioni 70 za kitanzania.

Adele kwasasa anapeta na album yake mpya aliyoingiza Sokoni mwaka jana inayokwenda kwa jina la 30 Album ambayo bado inaendelea kufanya vizuri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live