Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chege akana kulipwa milioni 25 na Rayvanny

Chege Chapa Nyingine Chege akana kulipwa milioni 25 na Rayvanny

Fri, 23 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Chege Chigunda akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es salaam amefunguka kutokulipwa kiasi cha Sh Milioni 25 na msanii Rayvanny kama ambavyo Mwijaku alieleza.

Mwanamuziki Chege Chigunda akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es salaam amefunguka kutokulipwa kiasi cha Sh Milioni 25 na msanii Rayvanny kama ambavyo Mwijaku alieleza. Mwijaku kwenye moja ya mahojiano yake alisema Chege maeshalipwa na Rayvanny kiasi cha Milioni 25 kwa ajili ya kumalizana na sakata la msanii Mac Voice ambaye awali alikuwa msanii wake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live