Kwa mujibu wa kurasa ya Twitter ya TurnTable Charts inayofuatilia mafanikio ya kazi za wasanii kutoka Nigeria kwenye Platforms zote za kusambaza muziki, Burnboy anaongoza kusikilizwa na kutazamwa zaidi kwenye platforms hizi 5 Duniani kama msanii kutoka Nigeria.
BurnBoy anashikilia nafasi ya kwanza Duniani kwa Kusikilizwa na kutazamwa zaidi kwa wasanii wote wa Nigeria kwenye platform za;
#1 Apple Music
#1 Audiomack
#1 Boomplay
#1 Spotify
#1 YouTube
Most #1 songs on the streaming chart in Nigeria
— Davido (9)
— Asake (6)
— Omah Lay (6)
— Burna Boy (5)
— Olamide (5)
— Mayorkun (4)
— Fireboy DML (3)
— BNXN (2)
— Adekunle Gold (2)
— Wizkid (2)
— Mohbad (2)
— Ed Sheeran (2)
This week's most-heard songs on the radio in Nigeria:
1. Wizkidayo - Bad To Me [second week at #1]
2. Pheelz, Davido - Electricity (new peak)
3. Fireboydml, Asake Musik - Bandana
4. Oxlade - Ku Lo Sa
5. Ayra Starr - Rush
Most #1 songs on TV chart in Nigeria;
— Wizkid (7)
— Burna Boy (7)
— Fireboy DML (5)
— Rema (5)
— Davido (4)
— Asake (3)
— Olamide (3)
— Omah Lay (3)
— BNXN (3)
— King Promise (2)
— Patoranking (2)
— Bella Shmurda (2)
— Chris Brown 2
This week's most-watched videos on TV in Nigeria:
1. Chris Brown, Wizkid - CMED (first week at No. 1)
2. Patoranking - Kolo Kolo
3. Bella Shmurda - New Born Fela
4. Pheelz x Davido - Electricity
5. Fireboy, Asake Musik - Bandana.