Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy aweka rekodi ya Kukumbukwa Madison Square Garden

Burna Boyy Burna Boy akitumbuiza Jukwaani usiku wa Jana

Fri, 29 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Usiku wa kuamkia leo, Burna Boy ameungana na magwiji wa muziki duniani kama Michael Jackson, Elvis Presley, The Beatles, Adele, Rihanna, Jay-Z, Justin Bieber na Mariah Carey kwenye orodha ya wasanii ambao wamefanikiwa kuujaza ukumbi maarufu wa Madison Square Garden mjini New York.

Usiku wa kuamkia leo, Burna Boy ameungana na magwiji wa muziki duniani kama Michael Jackson, Elvis Presley, The Beatles, Adele, Rihanna, Jay-Z, Justin Bieber na Mariah Carey kwenye orodha ya wasanii ambao wamefanikiwa kuujaza ukumbi maarufu wa Madison Square Garden mjini New York. Ukumbi wa Madison Square Garden una uwezo wa kubeba watu 20,789, na Burna Boy amekuwa msanii wa kwanza toka Afrika kuweka rekodi hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live