Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Beat ya naogopa nilifanya na Jux" - Abbah Process

Nv Kulia ni msanii Juma Jux kushoto ni Producer Abbah

Thu, 19 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Huenda ungemsikia Jux kwenye ngoma ya Naogopa ambayo amefanya Marioo na Harmonize kama mambo yasingekuwa mengi au ratiba zake kuingiliana.

Taarifa hiyo ameitoa Abbah Process, producer wa ngoma hiyo ya naogopa wakati anapiga story na Big Chawa kupitia Kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio.

"Hii beat ya Naogopa mara ya kwanza nilifanya na Jux, baada ya kuitengeneza Jux alikuwa hana 'Mood' kwa sababu alikuwa amechoka, kila tukipanga tufanye kinatokea hichi mara kile labda 'Feeling' zake hazikuwa zime-click kwenye huu mziki pengine" amesema Producer Abbah Process   

Chanzo: www.tanzaniaweb.live