Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baada ya ‘Teja’ sasa ni ‘Kilio’ na Lava Lava

1251 Kili.png

Mon, 15 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Ikiwa ni muda mchache tu! toka aachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Teja’ Lava Lava ameamua kuachia ngoma nyingine iitwayo ‘Kilio’ audio ya ngoma hiyo imetayarishwa na Laizer wakati video imeongozwa na Zoom Production.

Ikiwa ni muda mchache tu! toka aachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Teja’ Lava Lava ameamua kuachia ngoma nyingine iitwayo ‘Kilio’ audio ya ngoma hiyo imetayarishwa na Laizer wakati video imeongozwa na Zoom Production. Huyu ni msanii mwingine kutoka WCB kuachia ngoma mfululizo kama ilivyokuwa mwishoni mwa mwaka 2017 ambapo Diamond Platnumz aliachia video mbili ziitwazo’Niache’ na ‘Sikomi’

Chanzo: bongo5.com