Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BASATA yampiga 'Stop' Steve Nyerere

Steve Mengelee Steve Nyerere Steve Nyerere

Wed, 23 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) mimemzuia Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania (SMT) kutekeleza majukumu yake mpaka pale watakapotoa muongozo.

Katika Barua yake iliyotolewa leo Machi 23, kwenda kwa shirikisho hilo, BASATA imefikia uamuzi huo kutokana na sintofahamu inayoendelea baada ya uteuzi wa Steve kama Msemaji wa Shirikisho hilo, ambapo kuna baadhi wa wasanii wameonekana kumpinga.

Soma kwa Kina Barua ya BASATA hapa chini;



Chanzo: www.tanzaniaweb.live