Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aslay amepotea kwenye muziki?

ASLAY123 Aslay

Fri, 24 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wadau na mashabiki mbalimbali wa muziki wa Bongo Fleva wanaeleza masikitiko yao juu ya kupotea kwa msanii Aslay ambaye waliamini angekuwa juu mno kwenye muziki kutokana na kipaji kikubwa alichonacho.

Wadau na mashabiki mbalimbali wa muziki wa Bongo Fleva wanaeleza masikitiko yao juu ya kupotea kwa msanii Aslay ambaye waliamini angekuwa juu mno kwenye muziki kutokana na kipaji kikubwa alichonacho. Hata hivyo, wanasema hali imekuwa tofauti na mashabiki wake wanammisi huku wakijiuliza amekosea wapi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live