Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ashanti akiri kuombwa rushwa ya ngono na Prodyuza

Ashantii Ashanti

Fri, 2 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Ashanti ametoboa siri ambayo wengi walikuwa hawaifahamu, amekiri kuwahi kupitia changamoto kwenye muziki wake ikiwemo ya kuombwa rushwa ya ngono na Mtayarishaji wa muziki ili tu apate nafasi ya kurekodi wimbo.

Mwanamuziki Ashanti ametoboa siri ambayo wengi walikuwa hawaifahamu, amekiri kuwahi kupitia changamoto kwenye muziki wake ikiwemo ya kuombwa rushwa ya ngono na Mtayarishaji wa muziki ili tu apate nafasi ya kurekodi wimbo. Ashanti amekaririwa akisema, baada ya kurekodi nyimbo mbili na Mtayarishaji huyo, ilifika wakati wa kutaka kuziweka kwenye Album na hapo ndipo Jamaa alimwambia anamtaka kimapenzi na kama akikataa ombi hilo, basi atalipia ($40k) zaidi ya TSh. Milioni 93 kwa kila wimbo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live