Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Alikiba ni Favorite wangu wa muda wote" - Q Chief

Dadad Picha ya Q Chief kushoto na Alikiba kulia

Wed, 1 Jun 2022 Chanzo: eatv.tv

Msanii Q Chief amemtaja Alikiba kama ndio msanii wake anayempenda wa muda wote kwa sababu hana mambo mengi na ameacha mziki wake uongee. 

Akizungumza Q Chief amesema kwamba

"Ali its my favorite of all time kwa sababu hana makeke, hana mambo mengi, ameacha mziki wake uzungumze sana kuliko mambo mengine".

"Hii ndio sababu namuheshimu kila mara kutoka moyoni mwangu, kwanini nimkatae mtu  kwa sababu za tofauti za watu wengine".

Chanzo: eatv.tv