Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Album yangu itazua mshangao mkubwa" - Whozu

Whozu 174488447 128666322611931 6909047750388354780 N E1619282613626 Msanii wa Bongo Flavour, Whozu

Sat, 18 Dec 2021 Chanzo: eatv.tv

Tegemea Album mpya kutoka kwa Don Dingoo Whozu ambaye anasema itakua Album bora kwa sababu itazua mshangao mkubwa.

Kuhusiana na hilo Whozu anasema kwamba;

"Ukweli mtajiuliza maswali mengi sana, na nina uhakika Album yangu itazua mshangao mkubwa kwa wengi ilo nalijua ila leo nawapa jibu la swali la kwanza, acha uoga fanya kwa uhakika".

Chanzo: eatv.tv