Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Albamu ya Barnaba imeachiwa rasmi, ngoma zote hizi hapa

Barnaba M  Barnaba

Wed, 17 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa kizazi kipya Elias Barnabas maarufu Barnaba, ametambulisha albamu yake mpya yenye nyimbo 18 katika tamasha alilolipa jina la Love Sounds Different.

Albamu hiyo ambayo muandaaji mkuu ni gwiji wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz, imezinduliwa ikiwa ni kumbukumbu ya miaka 18 tangu kuanza kazi ya muziki kwa mwanamuziki Barnaba.

Baadhi ya wanamuziki mashuhuri walioshirikishwa kwenye albamu hiyo ni Diamond Platnumz, Ali Kiba, Marioo, Rayvanny, Lunya, Lody Music Kusah, Dayoo, Khaligraph Joned, Mbosso, Lady Jaydee, Khadija Kopa na Platform.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live