Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

2021 Davido ameingiza Bilioni 51

5C7F3523 7474 41E0 A959 8134A2FDC38C.jpeg 2021 Davido ameingiza Bilioni 51

Sun, 2 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki David Adeleke Adeleji maarufu Davido, kupitia insta story yake ameweka wazi kiasi alichovuna kwenye muziki kwa mwaka mzima wa 2021

Msanii huyo maarufu kutokea nchini Nigeria ameandika kuwa mwaka 2021 amefanikiwa kiasi cha Dola za Marekani milioni 22.3 ambazo ni sawa na zaidi ya Billion 51.4 za Kitanzania licha ya kuwa kimya kwa kipindi kirefu bila ya kuwa na hit song na kufanya maonesho makubwa.

Davido ameamua kuweka wazi yake mapato yake hayo yaliyotokana na kazi zake za muziki na dili mbalimbali ili kuwaziba midomo wakosoaji wake waliodai kuwa nyota huyo amefulia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live