Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

iPhone 13 Pro Max yavunja uchumba

IPhone 13 Pro Max iPhone 13 Pro Max yavunja uchumba

Thu, 15 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanaume mmoja nchini Nigeria amevunja uchumba na kusitisha kufunga ndoa na mpenzi wake baada ya Bingi huyo kugoma kutaja jina la mtu aliyemnunulia iPhone 13 Pro Max.

Inasemekana wapenzi hao walikuwa kwenye hatua za mwisho za kufunga ndoa na Kijana huyo alivyomuona mpenzi wake na simu hio, aliuliza maswali yaliyokosa majibu na kuamua kufuta ndoa na uchumba.

Awali binti huyo alidai ni ndugu wa karibu ndiye aliyempa simu hio ila aligoma katu katu kutaja jina lake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live