Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zimbabwe yaidhinisha matumizi sindano za kuzuia VVU

Cure For HIVAIDS People Are Willing To Risk Their Lives If It Helps In Finding A Cure E1577956423169 Zimbabwe yaidhinisha matumizi sindano za kuzuia VVU

Wed, 19 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mamlaka ya Kudhibiti Madawa imetangaza kuidhinisha Matumizi ya muda mrefu ya sindano ya cabotegravir (CAB-LA) kama prophylaxis ya pre-exposure (PrEP) kwa ajili ya kuzuia VVU

Hii inafuatia pendekezo la WHO, lililotangazwa Julai 2022, kwamba CAB-LA inaweza kutolewa kwa watu walio katika hatari kubwa ya kupata VVU kama sehemu ya mbinu za kina za kuzuia VVU.

Tafiti Mbili kubwa zilibaini kuwa sindano za CAB-LA kila baada ya Miezi 2 zilikuwa salama na zenye ufanisi mkubwa katika kupunguza hatari ya kupata VVU miongoni mwa watu waliokatika Hatari ya Kuambukizwa

Chanzo: www.tanzaniaweb.live