Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zimbabwe Yatoa Noti Mpya ya Thamani ya Juu Zaidi

Dola 1?fit=720%2C432&ssl=1 Zimbabwe Yatoa Noti Mpya ya Thamani ya Juu Zaidi

Thu, 8 Jul 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Zimbabwe Yatoa Noti Mpya ya Thamani ya Juu Zaidi July 8, 2021 by Global Publishers



Kuanzia Jumatano nchini Zimbabwe itasambazwa noti mpya ya dola 50, ikiwa ndio yenye thamani kubwa zaidi kuwahi kutolea Zimbabwe tangu mwaka 2019.

Dola 50 ya Zimbabwe ina thamani ya dola $0.60 sawa na Tsh 1391.40. Noti mpya ilizunduliwa Jumanne na benki kuu ilisema kuwa itasambaza dola milioni 360 za Zimbabwe kupitia benki.



Imetolewa huku nchi hiyo ikikabiliwa na mfumuko wa bei ambao umewafanya watu kutembea lundo la noti. Noti mpya ina picha ya shujaa wa kupambana na ukoloni Mbuya Nehanda.



Zim Live imetuma ujumbe wa twitter: JUST IN: Zimbabwe’s central bank says to introduce new $50 note on Wednesday, saving the population from carrying wads of worthless currency pic.twitter.com/7TrOBZeQlQ

— ZimLive (@zimlive) July 6, 2021.



Share this:TweetWhatsApp Related
Chanzo: globalpublishers.co.tz