Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zambia: Shule zafunguliwa kwa mara ya kwanza baada ya mlipuko wa kipindupindu

Zambia: Shule Zafunguliwa Kwa Mara Ya Kwanza Baada Ya Mlipuko Wa Kipindupindu Zambia: Shule zafunguliwa kwa mara ya kwanza baada ya mlipuko wa kipindupindu

Mon, 12 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shule nchini Zambia zimefunguliwa kwa mara ya kwanza mwaka huu baada ya kucheleweshwa kwa mara kadhaa kutokana na mlipuko wa kipindupindu.

Siku rasimi ya kufunguliwa kwa shule ilichelewesha kwa wiki tano kama sehemu ya hatua zilizochukuliwa kudhibiti msambao wa ugonjwa huo hatari.

Wizara ya elimu kwenye taifa hilo imesema itafanya uchunguzi wa kina kutathmini namana shule zilivyojianda kwa ajili ya ufunguzi.

Hatua hii imekuja wakati huu mamlaka kwenye taifa hilo ikieleza kuwa msambao wa kipindupindu umeanza kupungua.

Karibia watu 500 wameripotiwa kufariki tangu mlipuko huo kuthibitishwa mwezi Oktoba mwaka uliopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live