Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

'Yesu wa Tongaren' ajipeleka polisi wananchi wakitaka kumtundika msalabani

Yes Wa Tongaren .jpeg Yesu wa Tongaren

Sun, 5 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanaume mmoja aliyejitangaza kuwa yeye ni Yesu Kristo wa Bungoma (Yesu wa Tongaren) huko nchini Kenya amedai kuwa maisha yake yako hatarini kwasasa na hivyo kukimbilia Polisi.

Mwanaume mmoja aliyejitangaza kuwa yeye ni Yesu Kristo wa Bungoma (Yesu wa Tongaren) huko nchini Kenya amedai kuwa maisha yake yako hatarini kwasasa na hivyo kukimbilia Polisi. Hii ni baada ya sehemu ya wakazi wa Bungoma kusema ni lazima asulubiwe wakati wa Pasaka kama jinsi Yesu alivyosulubishwa huku wakimuhakikishia kwamba ikiwa kweli yeye ndiye masihi, atafufuka siku ya tatu na kwenda mbinguni hivyo asiwe na wasiwasi hata kidogo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live