Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri atupwa jela miaka 16 kwa ufisadi

Mary Helena Ufisadi.png Waziri atupwa jela miaka 16 kwa ufisadi

Fri, 29 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Waziri wa Kazi wa Msumbiji Maria Helena Taipo amehukumiwa kifungo cha miaka 16 jela kwa makosa ya rushwa, yanayohusisha kujipatia fedha zaidi ya Tsh. Bilioni 3.96 sawa na Dola za Marekani Milioni 1.7 kutoka katika fedha za Umma kati ya mwaka 2014-2015.

Aliyekuwa Waziri wa Kazi wa Msumbiji Maria Helena Taipo amehukumiwa kifungo cha miaka 16 jela kwa makosa ya rushwa, yanayohusisha kujipatia fedha zaidi ya Tsh. Bilioni 3.96 sawa na Dola za Marekani Milioni 1.7 kutoka katika fedha za Umma kati ya mwaka 2014-2015. Maria pamoja na maafisa wengine wa Serikali walisomewa mashtaka ya utakatishaji fedha, uvunjaji wa uaminifu, matumizi mabaya ya madaraka, kujihusisha kiuchumi katika biashara na kughushi nyaraka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live